Natafuta mwanamke MBUNGE awe mpenzi wangu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Natafuta mwanamke wa kuwa mpenzi wangu.
Awe wa dini yeyote, umri haujalishi.
Sijali kama atakuwa na mapenzi ya kweli au la.
Kama ni mke wa mtu niko tayari kumuoa iwapo mumewe ataugundua uhusiano wetu.
Aniruhusu niwe na full access na akaunti zake za benki
 
Niko hapa njoo "nikuwowe" mpuuzi mkubwa wewe!
 
wabunge wanapenda sana miswaada. Hebu andika muswada wako kisha mpe yule mama wa kibena anayesema 'senkyo vele mache' ili aupitie, auhambue kisha awape na wamama wengine wausome.
Lakini hujasema kuwa watakupate? Atleast unge attach hata ka sanduku ka barua
 

senkyo vele maaache
 

JF vituko haviishi!
 
Jamani, kuna mabunge mengi, pale Majengo Mbeya zamani kulikuwa na kilabu cha Lejiko, kwenye kilabu hicho kulikuwa na bunge la HOUSE OF COMMONS, bila shaka mwenzetu MIKELA ndo alikuwa anataka mwanamke kutoka kwenye bunge hilo
 
Unapenda vya bure utakuja kupumuliwa kisogoni
 
Wasiliana na maza spika maana bado naye hajapata mwenzi.Ukishindwa wabipu akina Mdoe, Bhanji na wengine wengi waliojazana kule wakiganga njaa.
 
Aloo kweli maisha magumu watoto wa kiume awataki kujishughlisha na kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…