Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
wabunge wanapenda sana miswaada. Hebu andika muswada wako kisha mpe yule mama wa kibena anayesema 'senkyo vele mache' ili aupitie, auhambue kisha awape na wamama wengine wausome.
Lakini hujasema kuwa watakupate? Atleast unge attach hata ka sanduku ka barua
Raha sana kupumuliwa kisogoni na lijimama libunge la viti maalum au lile la kupigiwa kura kabisaaaa
Raha sana kupumuliwa kisogoni na lijimama libunge la viti maalum au lile la kupigiwa kura kabisaaaa
utapumuliwa na JOHN KOMBA
Ule mkopo wa gari walishamaliza unajua. Sasa hivi salary slip zao zasoma negative.
utapumuliwa na JOHN KOMBA
Nadhani bikiroboto anakufaa, maana naye ni single kama wewe.Raha sana kupumuliwa kisogoni na lijimama libunge la viti maalum au lile la kupigiwa kura kabisaaaa