Mcheki Jokate, nadhani hana mtu.Natafuta Mchumba wa kike Mimi nina miaka 25
Sifa
Umri 27-20
Elimu form 4-Degree
Makazi-Dar es salaam(Wilaya ya ubungo)
KAZI yeyote tu
Anicheki kwenye email ebrahalwatan@gmail.com
Saiz yako huyo🤣Ningekuja ila wewe bado mdogo
Size yangu ni vijana wa 40+ hukoSaiz yako huyo🤣
Hao ni vijana? LolSize yangu ni vijana wa 40+ huko
kumbe ni mkubwa kwanguSize yangu ni vijana wa 40+ huko
Aaaah sio mdogo ww njoo tuyajengeSize yangu ni vijana wa 40+ huko
Rubii mbona umecheka?Ubungo wamefikiwa!