Mallibbotty6
Member
- Jun 17, 2016
- 14
- 12
Nishaijua..shanga na miuno feniHapana,,,,nina sababu hapo mkuu
Itakua hataki "msungo"Nishaijua..shanga na miuno feni
Itakuwa watafuta mauno kama feni bila shaka, maana wapo vzr kwa hiloHapana,,,,nina sababu hapo mkuu
Zama zimebadilikaJamaa hawanaga hiyana!
Hawajui kukataa kama wale wa Singidani na wale wa Manyara!
Wanamsemo wao wanakwambia “ kunnyima ntu dhambi “
Zama zimebadilika