Natafuta mwanamke mtu mzima mwenye kujielewa tuwe na mahusiano

Natafuta mwanamke mtu mzima mwenye kujielewa tuwe na mahusiano

Mohameddiwani

Senior Member
Joined
Jul 11, 2018
Posts
153
Reaction score
308
Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili awe mpenzi wangu
Sifa-:-
1) umri kati ya 25 mpaka 45
2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote)
3)mwenye kazi yake au biashara
4)mwenye watoto(maana napenda sana watoto)

Naomba njoo pm weka namba tuwasiliane.mi nipo dar es salaam,nina miaka 30


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom