Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili awe mpenzi wangu
Sifa-:-
1) umri kati ya 25 mpaka 45
2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote)
3)mwenye kazi yake au biashara
4)mwenye watoto(maana napenda sana watoto)
Naomba njoo pm weka namba tuwasiliane.mi nipo dar es salaam,nina miaka 30
Kama unapenda watoto unategemea nani akuzalishie alafu ww ufanye iyo kazi ya kuwapenda?, au ww ni R, Kelly umekuja na ID ya kujifanya mswahili wa kwa mtogole?