Natafuta mwanamke mtu mzima.

Natafuta mwanamke mtu mzima.

Mbilimbi

Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
32
Reaction score
3
Mimi ni mwanaume mtu mzima,natafuta mwanamke mtu mzima mwenzangu awe mwenza wa maisha yangu,yule aliyeguswa tafadhali PM au tuwasiliane kwa email adres ifuatayo mbilimbi2@nokiamail.com
 
Hivi mimi ni mtu mzima au mtoto?@babu dc
 
Hivi mimi ni mtu mzima au mtoto?@babu dc
Kufahamu kama wewe ni mtoto au mtu mzima,fanya hivi Smile. Weka mkono wako wa kulia juu ya kichwa halafu jaribu kushika kivaa hereni cha sikio la kushoto.Ukikishika wewe ni mtu mzima, la ukishindwa wee bado yosso.
 
Last edited by a moderator:
Kufahamu kama wewe ni mtoto au mtu mzima,fanya hivi Smile. Weka mkono wako wa kulia juu ya kichwa halafu jaribu kushika kivaa hereni cha sikio la kushoto.Ukikishika wewe ni mtu mzima, la ukishindwa wee bado yosso.
kidoogo nimeshika bega ndo sijashika
 
Back
Top Bottom