Kufahamu kama wewe ni mtoto au mtu mzima,fanya hivi Smile. Weka mkono wako wa kulia juu ya kichwa halafu jaribu kushika kivaa hereni cha sikio la kushoto.Ukikishika wewe ni mtu mzima, la ukishindwa wee bado yosso.Hivi mimi ni mtu mzima au mtoto?@babu dc
kidoogo nimeshika bega ndo sijashikaKufahamu kama wewe ni mtoto au mtu mzima,fanya hivi Smile. Weka mkono wako wa kulia juu ya kichwa halafu jaribu kushika kivaa hereni cha sikio la kushoto.Ukikishika wewe ni mtu mzima, la ukishindwa wee bado yosso.