Natafuta mwanamke mvumilivu na mchakarikaji

Natafuta mwanamke mvumilivu na mchakarikaji

Mnyerede

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
211
Reaction score
231
Habari wadau Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Wasifu wangu ni:

Rangi: mweusi.
Afya: sina virusi vya ukimwi.
Kabila: mpare.
Urefu : 140.
Elimu: stashahada ya Elimu.
Dini: mkristo.
Dhehebu: mlutheri.
Kazi: mwalimu.

Sifa za mwanamke ninayemtaka ni

Rangi: maji ya kunde/mweupe.
Dini: mkristo.
Elimu: kidato cha nne na kuendelea.
Kazi: mwajiriwa/mjasiriamali aliyeanza safari ya ujasiriamali.
Kuolewa: ambaye hajawahi kuolewa au kuwa na mtoto.
Nb: awe tayari kuishi na Mimi katika hali yoyote ya maisha, akiniheshimu nitamuheshimu na kumpenda sana, aweze kuwa na vision ya maisha na kuniheshimu. Pia awe tayari kuanza na Mimi safari ya utafutaji pamoja. Njoo pm kama upo interested.
 
140 urefu...mmh we unamlingana joti urefu...[emoji87]
 
Back
Top Bottom