Natafuta mwanamke/mwanamama wa kuanza urafiki wa kubadilishana mawazo

Natafuta mwanamke/mwanamama wa kuanza urafiki wa kubadilishana mawazo

Mtundu wa Tech

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Posts
642
Reaction score
609
Waa asalaam.

Mimi ni muislamu, rejea na kichwa cha habari hapo juu.

Nahitaji mwanamke anaweza kuwa na urafiki nami aje PM.

Sichagui kabila wala dini ninachotaka mimi ni kuheshimiana na pale atakapohitaji ukaribu zaidi kama ishu za tendo la ndoa awe tayari kupima HIV bila kuficha.

Nafahamu kuna wanawake wengi hupenda sana ishu hizi ila huwa wanajiuliza watatuanzaje sisi wanaume basi kwa leo nawahitaji mimi.

Umri kuanzia miaka 33 na kuendelea hata kama ana miaka 50 sawa tu ila kujari afya ni muhimu.

Kwa wale wanaoishi jiji la Dar es salaam watapewa kipaumbele zaidi kwa sababu nami ni mkaazi wa Dar
 
Sasa kama rafiki hayo mambo ya kupima HIV na tendo la ndoa yanatoka wapi?? Nyosha maelezo unahitaji mwanamkee wa kunjunja
 
Anzisha kijiwe cha kukata kucha na kuzipaka rangi ila usiende majumbani kwao.
 
[emoji3][emoji1787][emoji1787]hapo hakuna tendo la ndoa sema akihitaji kuzini
 
Back
Top Bottom