Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForumsMimi ni kijana kitanzania ninatafuta mwanamke mwembamba mrefu ili awe mpenzi wangu kwa malengo baadaaye awe mke wangu . Mimi nimesoma mpaka level ya Master's Degree na nimeajiriwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania . Ninaishi Dar es salaam. Kwa aliye tayari 0713153696 sibagui Dini wala kabila mkuje warembo wa dini na makabila yooote . Karibuni saaana wapendwa wangu .
Atafutae hachoki, akichoka ujue kapata.Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2014 ulipost hii...
Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2015 ukapost hii....
Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2017 ukaja na hii...
Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2018 Ukapost tena hii...
Ohhhppppssss.....Atafutae hachoki, akichoka ujue kapata.
Usitufukuzie mchumba bwana.
mzee baba mbona unafukua makaburi jamani?Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2014 ulipost hii...
Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2015 ukapost hii....
Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2017 ukaja na hii...
Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2018 Ukapost tena hii...
Ha ha ha haUnataka mrefu hivi eeeehhhhhh!!View attachment 990291
Kutakuwa kuna tatizoNatafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2014 ulipost hii...
Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2015 ukapost hii....
Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2017 ukaja na hii...
Natafuta mwanamke wa kuoa - JamiiForums
2018 Ukapost tena hii...
Na usomi wako umeshindwa kabisa kupata mpenzi maeneo unayoishi, kufanya kazi, au wafanyakazi wenzio wakuletee watoto wao au ndugu/jamaa zao? Kwenye vituo vya daladala, beach, kote huko hujapata hadi unatoa tangazo, hizi Masters mnazopata hazina maana, huko chuoni hukuwaona? Au wewe ni wale wenye zege mdomoni?Mimi ni kijana kitanzania ninatafuta mwanamke mwembamba mrefu ili awe mpenzi wangu kwa malengo baadaaye awe mke wangu . Mimi nimesoma mpaka level ya Master's Degree na nimeajiriwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania . Ninaishi Dar es salaam. Kwa aliye tayari 0713153696 sibagui Dini wala kabila mkuje warembo wa dini na makabila yooote . Karibuni saaana wapendwa wangu .
Labda atafute malaika, maana huko koote hajapata sasa humu Jf atapata jini labda. Aendelee kutafuta.mtaani umeacha wangapi,njiani umeacha wangapi,kazini umeacha wangapi,kichochoroni umeacha wangapi n.k mtakuwa lini 2019 na internet
Hapana mkuu, hapa tunakumbushana tu..[emoji30][emoji30]
Kweli huyu huenda ana kasoro, kweli koote huko hajapata anategemea humu Jf? Aaaaah haya maajabu ya mwaka 2019. Humu sana sana atapata vichaaNa usomi wako umeshindwa kabisa kupata mpenzi maeneo unayoishi, kufanya kazi, au wafanyakazi wenzio wakuletee watoto wao au ndugu/jamaa zao? Kwenye vituo vya daladala, beach, kote huko hujapata hadi unatoa tangazo, hizi Masters mnazopata hazina maana, huko chuoni hukuwaona? Au wewe ni wale wenye zege mdomoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo analengo maalumu haitaji mchumba labda ni wale jamaa wasiojulikana, Masters degree unatafuta mwanamke wa ndoa JF?Kweli huyu huenda ana kasoro, kweli koote huko hajapata anategemea humu Jf? Aaaaah haya maajabu ya mwaka 2019. Humu sana sana atapata vichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji18][emoji18]Hapana mkuu, hapa tunakumbushana tu..[emoji30][emoji30]