Natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya dhati

Ndiyo unakuja hapa JamiiForum kweli, hongera mkuu na good luck.
 
Ikiwezekana pata wa dini yako na pata wa kabila lako
Kisa lingine ulilofanya hapa ni kuweka wazi kwamba unatafuta kwa ajili ya ndoa! From experience hilo si jambo jema atakuja direct kwa ajili ya ndoa na si mapenzi ama makucha yake atayaficha yote ili aolewe na baada ya ndoa, baada ya kipindi fulani akiyakunjua makucha hakuna rangi hutakaa uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…