Wakuu
Maji yameshafika shingoni naona uzee ndio huu ulishaingia, kwahivo natafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 55 hadi 60 nimuoe ilitumalizie uzee wetu, awe na watoto sawa tu, awe alifiwa na mume safi tu mimi nabeba mzigo.
Maisha haya bila mpenzi naona hayaendi kabisa na zaidi napenda ambae sio msomi awe aliishia darasa la 7 tu, na zaidi akiwa hata na genge la kuuza hata mboga mboga ni sawa tu ili mimi niwe nafuata bidhaa maana machimbo yote nayafahamu.
Kama yupo ajitokeze haraka.