Wakuu
Maji yameshafika shingoni naona uzee ndio huu ulishaingia, kwahivo natafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 55 hadi 60 nimuoe ilitumalizie uzee wetu, awe na watoto sawa tu, awe alifiwa na mume safi tu mimi nabeba mzigo.
Maisha haya bila mpenzi naona hayaendi kabisa na zaidi napenda ambae sio msomi awe aliishia darasa la 7 tu, na zaidi akiwa hata na genge la kuuza hata mboga mboga ni sawa tu ili mimi niwe nafuata bidhaa maana machimbo yote nayafahamu.
Kama yupo ajitokeze haraka.
Watu mna dharau dahShikamoo. Sidhani kama utawakuta humu. Na huyu wa humu atasumbua sana bando.
WEWE umri GANI?
wakurochi: humu humu nitapata tu
Mkuu kwa vigezo vyako kwamba awe miaka55 hadi60 halafu awe ameishia darasa la7 halafu hapa humpatiii, labda uende makanisaniWakuu
Maji yameshafika shingoni naona uzee ndio huu ulishaingia, kwahivo natafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 55 hadi 60 nimuoe ilitumalizie uzee wetu, awe na watoto sawa tu, awe alifiwa na mume safi tu mimi nabeba mzigo.
Maisha haya bila mpenzi naona hayaendi kabisa na zaidi napenda ambae sio msomi awe aliishia darasa la 7 tu, na zaidi akiwa hata na genge la kuuza hata mboga mboga ni sawa tu ili mimi niwe nafuata bidhaa maana machimbo yote nayafahamu.
Kama yupo ajitokeze haraka.
Mkuu kwa vigezo vyako kwamba awe miaka55 hadi60 halafu awe ameishia darasa la7 halafu hapa humpatiii, labda uende makanisani
π π π πIla unaweza ukaunganishwa kupitia humu na wanao
Ngoja nikupe namba za Hadija KopaWakuu