bank statement
Member
- Jun 15, 2015
- 14
- 9
Tena si kila mwezi/miezi miwili, kama unakunywa dawa vizuri na daktari wako anakuamin wengine ni baada ya miezi 12 ndio wanamuoana tena dr na kupewa dawa. Wapo watu wanaishi bongo lakini wanakwenda ulaya mara moja kwa mwaka kwa check up na kupewa mzigo wake mpaka mwakani.Mimi nafikiri approach yako haitazaa matunda. Samahani kwa kusema hivyo.
Naelewa kila baada ya mwezi au miezi miwili huwa unaenda kuchukua dawa kituoni.
Jaribu hapo. Mchunguze kwa macho kwanza kabla ya kuzoza naye. Na kama kituo unachochukulia dawa sio kikubwa basi badili kituo.
Naomba nirudie tena. Shetani japo ni shetani kwa ruhusa ya Mungu huamua kabisa kumpa mtu ugonjwa kutokana na kifua chake. Kuna wengine ambao leo wakiambiwa ni HIV positive watajiua kabla ya jogoo kuwika.
Lakini kuna watu wana hivi virusi na wanaishi. Ni watu jasiri sana. Watunza siri wazuri sana.
Mungu na awabariki. Mungu na aonekane kwenye maisha yenu.
apo umenena mkuu mm huwa nashangaa kwa nn mtu akiambiwa Ana vvu hupanic sana wanasahau kua huu ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine jamaa ataishi miaka mingi sanaMimi nafikiri approach yako haitazaa matunda. Samahani kwa kusema hivyo.
Naelewa kila baada ya mwezi au miezi miwili huwa unaenda kuchukua dawa kituoni.
Jaribu hapo. Mchunguze kwa macho kwanza kabla ya kuzoza naye. Na kama kituo unachochukulia dawa sio kikubwa basi badili kituo.
Naomba nirudie tena. Shetani japo ni shetani kwa ruhusa ya Mungu huamua kabisa kumpa mtu ugonjwa kutokana na kifua chake. Kuna wengine ambao leo wakiambiwa ni HIV positive watajiua kabla ya jogoo kuwika.
Lakini kuna watu wana hivi virusi na wanaishi. Ni watu jasiri sana. Watunza siri wazuri sana.
Mungu na awabariki. Mungu na aonekane kwenye maisha yenu.
hv Kuna watu waoga kumbe kujitangazaDuuh..kaka hongera kwa kujitangaza.. mungu atakupa inshaala
Alafu nyie mnaoniponda Inaelekea mpo kwenye kitengo... Mimi Furaha yangu ni kumuona mtu mzembe akifa kwa ukimwi... HahahaHapo ulipo usikute hujawahi ata kwenda kupima
Mimi Furaha yangu ni kumuona mtu mzembe akifa kwa ukimwi... HahahaUsimnyooshee mtu kidole vinne vyote vinakuangalia ww[emoji17]