Natafuta mwanamke tuwe wanandoa!

Natafuta mwanamke tuwe wanandoa!

Ndama Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
1,520
Reaction score
1,504
1-Awe muislamu
2-umri 20-30
3- kabila lolote lile
4-Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea
5-awe ameajiriwa au hajaajiliwa ni sawa tu,akiwa ameajiriwa basi akiwa mwalimu ni vyema zaidi.
6-Awe mrembo Kiasi

Sifa zangu
1-Muislamu
2-umri 31
4-mtumishi serikalini
5- Elimu degree

Aliye serious nakaribisha PM
 
Hapo namba 6 ,

Mtu atajipimaje kujua kama yupo kwenye hicho kiwango cha urembo kiasi?
 
Nimecheka kwa nguvu hadi naulizwa shida nini
Ah masingle maza ndio wanapokoseaga sana hapo...wee mpende mtoto wako mie nimependa mbusush yako sasa gutulie tuyajenge na kupeana raha za dunia.
 
Ah masingle maza ndio wanapokoseaga sana hapo...wee mpende mtoto wako mie nimependa mbusush yako sasa gutulie tuyajenge na kupeana raha za dunia.
ukipenda boga penda na ua lake, si lazima iwe 100% ila jua atakua sehem ya maisha yetu
 
ukipenda boga penda na ua lake, si lazima iwe 100% ila jua atakua sehem ya maisha yetu
Ah hilo linaeleweka ila sasa usilete story oh mie umpende mtoto kuliko mie...kwani huyo mtoto wako ndio ananipa mbususu mpaka nimpende kuliko wewe🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom