Natafuta mwanamke wa kuanza naye maisha

Believable marriage

New Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
4
Reaction score
2
Mimi ni mwanaume, mwenye umri 33,mkristu,nina elimu Ya kawaida, nina Kazi tyr, muonekano Wangu ni wakawaida. Natafuta mwanamke wakuoa mwenye umri 20-28 ,anaye jitambua, na mwenye nia ya Kweli, Karibu uje pm
 
Wadada kazi kwenu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…