Shabdullah
Member
- Feb 17, 2020
- 65
- 52
Natafuta mwanamke ambae ambae tutafikia hadi kuoana na kuishi kwa amani
Sifa
Awe na umri kuanzia 23 hadi 29
Awe muislam
Awe na hof na mungu
NB:
Rangi na kimo sivipi kipaombele. Sio lazima awe anafanya kazi lakini akiwa mchapakazi itanipendeza zaidi
Mimi ni
Mrefu
Mweupe.
Nafanya kazi ( ukija inbox utajua kaz yangu)
Nina miaka 25
Ninamwili wa kati na kati, japo kuwa saivi najikuta nanenepa.
Ni muislam.
Elimu yangu ni diploma.
Naishi dar es salaam
Nicheck inbox