Reseat kwanza dogo. Ukipata credit 3 nenda advance upige kitabu. Mambo ya kutafuta mchumba yasikie kwa wakubwa zako tu maana ukifika muda wako utayaona vinginevyo unatafuta pressure bure.