Mashine1908
New Member
- Jan 28, 2018
- 3
- 3
Natafuta mwanamke wa kufunga naye pingu za maisha kwa ndoa halali kutoka kanisani, mimi ni mwanaume niliekamili.
Mke nimtakaye awe ana mapenzi ya kweli, elimu kuanzia la saba na kuendelea awe na 18-30 miaka. Elimu yangu ni chuo kikuu, nimeajiriwa.
Kwa alie serious naomba ani pm
Mke nimtakaye awe ana mapenzi ya kweli, elimu kuanzia la saba na kuendelea awe na 18-30 miaka. Elimu yangu ni chuo kikuu, nimeajiriwa.
Kwa alie serious naomba ani pm