mcrounmj
JF-Expert Member
- Feb 26, 2016
- 380
- 889
Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili....
Mimi ni mwanaume wa miaka 34. Elimu yangu bachelor, nimejiajiri.
Kulingana na majukumu yangu ya kazi imekuwa ni vigumu sana kuwa na mwingiliano wa watu tofauti tofauti. Hivyo kuniwia vigumu kumpata mwenzi wa maisha.
Naamini kulingana na kukua kwa utandawazi na dunia kuwa kama kijiji, hivyo imekuwa ni rahisi watu kukutana kwenye mitandao na wakaanzisha mahusiano ambayo huishia kwenye ndoa.
Hivyo basi najitokeza kwenu kumtafuta mrembo, malkia na mke wangu mtarajiwa. Napendelea asiwe mnene sana, elimu walau kidato cha nne, miaka chini ya 32 na asiwe na mtoto. Sichagui dini wala kabila.
Mimi napenda kujituma, kuheshimu watu na kusaidia wenye uhitaji. Napenda mwanamke anayejiheshimu, mchapakazi na mcha Mungu. I like a woman with high self esteem, determined and visionary wife.