Natafuta mwanamke wa kuoa na anajua nini maana ya ndoa

Natafuta mwanamke wa kuoa na anajua nini maana ya ndoa

mmh!.. kwa sifa hzo zote zikamilike labda umzae mwenyewe .
Hatimaye nimewah siti kwa mara ya kwnza leo tangu nzaliwe. SIAMINI..!!!
 
Hellow,

Mimi ni mwajiriwa, nina elimu ya chuo kikuu ,natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo:
Awe mweupe asilia
Mrefu kiasi
Asiwe na mtoto
Asinywe pombe
Wala sigara
Elimu kuanzia shahada ya kwanza/shahada ya pili.
Awe hajawahi kuolewa.
Umri wake kuanzia28-36
Mwenye hofu ya Mungu atapewa kipaumbele.
Awe tayari kubeba vission nilizo nazo kufika mbali zaidi.

Karibu sana ni pm kwa mawasiliano zaidi.Nakuhakikishia hutojutia ukiwa nami nitakupenda na kukuthamini na kukulinda.
Siku hizi kunakuchezeana ndoa hakuna umepitwa na wakati wewe! Shauri zako...
 
Kwaivo we unataka mwenye izo sifa as if umemzaa ukamlea mwenyewe koh koh
 
Haya nyamaza....
c770b0e7b3182c465e6aedc1bbf762a1.jpg
 
binti mwenye sifa hizo je kwenu hakuna magonjwa sugu kama kifafa pumu (athuma) vichaa nk
 
Anayejua maana ya ndoa??? Ndoa unaolewa huijui na cheti unapewa kisha unajua maana yake huko.
Sasa hutaki akiyewahi kuolewa halafu unataka awe anaijua ndoa kaijulia wapi sasa?
 
Kumbe wasomi wanaenda wanachanganyikiwa na vitabu vyao hata alivyo lipumba anaweza mtaka mke akaweka sifa awe mkweli ,asiwe msariti nk
 
Back
Top Bottom