Joshuamsemakweli
Member
- Oct 24, 2017
- 9
- 4
Siku hizi kunakuchezeana ndoa hakuna umepitwa na wakati wewe! Shauri zako...Hellow,
Mimi ni mwajiriwa, nina elimu ya chuo kikuu ,natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo:
Awe mweupe asilia
Mrefu kiasi
Asiwe na mtoto
Asinywe pombe
Wala sigara
Elimu kuanzia shahada ya kwanza/shahada ya pili.
Awe hajawahi kuolewa.
Umri wake kuanzia28-36
Mwenye hofu ya Mungu atapewa kipaumbele.
Awe tayari kubeba vission nilizo nazo kufika mbali zaidi.
Karibu sana ni pm kwa mawasiliano zaidi.Nakuhakikishia hutojutia ukiwa nami nitakupenda na kukuthamini na kukulinda.
Kwaivo we unataka mwenye izo sifa as if umemzaa ukamlea mwenyewe koh koh
Hakuna magonjwa sugu mkuubinti mwenye sifa hizo je kwenu hakuna magonjwa sugu kama kifafa pumu (athuma) vichaa nk
Huko umeshapata shem...?Haya nyamaza....