S Steven Simon Member Joined Sep 27, 2013 Posts 26 Reaction score 2 Nov 9, 2013 #1 natafuta mwanamke wa kuoa kwa ndoa nikipendana nae nikiamini kuwa Mungu atanisaidia. Sifa zake: awe mweupe, miaka 18 hadi 23, mwenye elimu kuanzia O-level, au aliyeajiriwa, mkatoliki, msukuma/mchagga, awe mrefu wastani. Na: 0757796905, 0786601598
natafuta mwanamke wa kuoa kwa ndoa nikipendana nae nikiamini kuwa Mungu atanisaidia. Sifa zake: awe mweupe, miaka 18 hadi 23, mwenye elimu kuanzia O-level, au aliyeajiriwa, mkatoliki, msukuma/mchagga, awe mrefu wastani. Na: 0757796905, 0786601598
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Nov 10, 2013 #2 Kila lakheri ndugu Steven Simon katika huu mchakato Tanguliza sala ili upate mke sahihi wa masha Pia kumbuka hakuna kosa kubwa kama kukosea mtu wa kuoa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kila lakheri ndugu Steven Simon katika huu mchakato Tanguliza sala ili upate mke sahihi wa masha Pia kumbuka hakuna kosa kubwa kama kukosea mtu wa kuoa