Natafuta mwanamke wa kuoa

Joined
Jul 1, 2015
Posts
41
Reaction score
14
Asalam aleykum wana jF
natafuta mchumba wa kumuoa sifa
(1) awe anajua ugumu wa maisha
(2)awe na elimu yoyote tu
(3)kabila awe mmakonde,mmwera,mzaramo,myao,mmakua,yatapewa kipaumbele au kifupi atokee ukanda wa pwani.
(3)uwe na maadili ya dini
(5)umri ni kuanzia 19 mpka 26
(6) uwe na sura na shepu ya kuvutia
(7)rangi yoyote
(8) usiwe mrefu sanaaa na wala mnene sana
(9) ukiwa na mtoto au watoto pia njoo koz hata mimi ninae
Kuhusu mimi
Nimeajiliwa serikalini na ninajitegemea
kabila mmakonde Umri ni miaka 24
NB:
-UKIJIONA MBABAISHAJI USIJE PM PLZ
-NAULI YA KUJA KUONANA UTAJITEGEMEA ILA UKIFIKA NAKUPA HELA YAKO YOTE
-WHATSAPP NI MUHIMU KWA KUJUANA SURA
-UAMINIFU MUHIMU
UKIJIONA UNA SIFA NJOO UNIACHIE NAMBA PM
 
Mwanamke wa kuoa anatafutwa usiku kweli mkuu? au unavizia wale wapweke wanagalagala na mito tu. anyway kutakucha watakuja
 
Hiyo namba 6 na wewe unasura na shape ya kuvutia? Wanaume wengi wanapenda sana hili neno, halafu wao ukikutana nao hizo sura dah! Unaweza kujiuliza hii sura ni yake au kakodisha!! Naelewa mwanaume hasifiwi sura ila unapoweka sifa kama hizi jichunguze na wewe Mara 100
 
me handsome ukija utaniona
 
Mkuu mke unapata usihofu, ila mgegedo uhusike kabla hujaoa ili ulizike na mzgo
 
Saafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…