Natafuta mwanamke wa kuoa

sincostan

Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
9
Reaction score
3
Mimi ni mwanamume mcha Mungu(mkristo), natafuta mwanamke wa kuoa , umri wangu ni miaka 30+, natafuta mtu ambae ana miaka ishirini na kuendelea, kwa mwanamke ambae upo serious ani pm, ila pia mimi si mtu kwenye pesa nyingi kwahiyo kama unamawazo kama hayo usije.
 
Unatafuta mwenye miaka 20+ inamaana hata mwenye 100??
 
Nawasiwasi na ucha Mungu wako? Kanisani umekosa kabixa 'na kama ni mcha Mungu neno linasemaje kuhusu mke. Ww umejivika ucha Mungu tu, hebu usiwadhihaki wacha Mungu bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa, ngoja wanakuja.

To accomplish much you must first lose everything..
 
Nawasiwasi na ucha Mungu wako? Kanisani umekosa kabixa 'na kama ni mcha Mungu neno linasemaje kuhusu mke. Ww umejivika ucha Mungu tu, hebu usiwadhihaki wacha Mungu bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanisa siyo jengo ndugu ,kwa hyo huwezi kusema kuwa nimekosa kanisani,huna haja ya kuwa na mashaka na uchaji wangu jambo la msingi kabla hujanyoosha kidole kwa mwenzako ujithathimini Wewe mwenyewe.
 
ni in box plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…