Natafuta mwanamke wa kuoa

Tungua02

New Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Habari,

Mimi ni mwanaume wa miaka 25, elimu nina shahada ya biashara, kazi mwajiriwa, nina nyumba nimejenga, kazi ya uhakika, nitamtunza, kumjali na kumpa mahitaji ya msingi kama mke, ninatafuta mke wa kuoa umri 38-45, sina ubaguzi wowote, awe anajitambua.

Kwa atayekua tayari anitafute kwa email njooupateupendowakweli@gmail.com

Asante, nawasilisha
 
sifa zingine za ziada mfano nina umri huo
 
Wakija zaidi ya mahitaji yako utanigawia mm mkuu,nami nahitaji.
 
Age difference,d=45-25=20 [emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ni mashart ya mganga nn?
 
Heee. .!! Sema tu unatafuta jimama la kukulea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…