Natafuta Mwanamke wa kuoa

Natafuta Mwanamke wa kuoa

Shabra

New Member
Joined
Oct 21, 2018
Posts
4
Reaction score
6
Umri: awe kuanzia miaka 22 nakuendelea, asiwe na mtoto, asiwe mnene sana, rangi yoyote.

Dini: awe muislamu

Elimu: kuanzia kidato cha nne na kuendelea, Sio lazima awe anafanya kazi, Na akiwa ni mwajiriwa awe anafanya kazi mikoa ya Tanga,Kilimanjaro au Arusha

Mimi nina miaka 30,Elimu-chuo kikuu, na Ni Mwajiriwa serikalini.

Mwanamke aliyetayari aje PM.
 
Dah aisee wewe huko uliko hakuna uliyependezwa nae mpaka hapa mambo ya DM? Mtafute kwenye mazingira yako hii mitandao sio kabisa if u r serious
 
Huku mtandaoni kuna kamchezo mkuu mwanamke usiyemjua ni hatari sana kuishi nae, jitahidi kupita mitaani au kazini au msikitini/kanisani utawapata wengi ambao unajua wapi chimbuko Lake na wapi unaweza kuanzia kumchunguza kwa wazazi, marafiki, ndugu na jamaa, ila kwa hapa mtandaoni jiandae kukutana na wabovu wanaotanguliza papuchi mbele. If you are serious try to think smart, this is a wrong place kutafuta mke, hii kitu nilishajaribu but it didn't work
 
Umri: awe kuanzia miaka 22 nakuendelea, asiwe na mtoto, asiwe mnene sana, rangi yoyote.

Dini: awe muislamu

Elimu: kuanzia kidato cha nne na kuendelea, Sio lazima awe anafanya kazi, Na akiwa ni mwajiriwa awe anafanya kazi mikoa ya Tanga,Kilimanjaro au Arusha

Mimi nina miaka 30,Elimu-chuo kikuu, na Ni Mwajiriwa serikalini.

Mwanamke aliyetayari aje PM.
Nakutakia kila La kheri,umpate aliye sahihi,hakuna utofauti wa humu na mtaani

Chamsingi angalia je anasifa unazohitaji,usikate tamaa kwa maneno utakayoambiwa na baadhi ya watu humu

Wapo waliopata kupitia humu na maisha yanaenda

Usisahau kumshirikisha Mungu katika hili.
 
Kila la kheri tangazo la kwanza lisilo na makuu
 
Kwani kitu cha msingi kwenye ndoa ni nini kwa mtazamo wako?
Sanaaaa wengine utasikia nataka mwenye master sijui nini ....bila kujua ndoa sio ofisi kwamba kuna ulazima wa elimu kubwa ili uweze kuihandle
 
Huku mtandaoni kuna kamchezo mkuu mwanamke usiyemjua ni hatari sana kuishi nae, jitahidi kupita mitaani au kazini au msikitini/kanisani utawapata wengi ambao unajua wapi chimbuko Lake na wapi unaweza kuanzia kumchunguza kwa wazazi, marafiki, ndugu na jamaa, ila kwa hapa mtandaoni jiandae kukutana na wabovu wanaotanguliza papuchi mbele. If you are serious try to think smart, this is a wrong place kutafuta mke, hii kitu nilishajaribu but it didn't work
True, labda Kama anaigiza
 
Wenzako hua tunatumia jf kwa jokes and stress releaae ila wewe uko serious..pole sana..humu kuna wanaume wenye ID za kike na wanawake wenye ID za kiume.be care ..
 
Back
Top Bottom