Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Eeeh ndo sura yangu kabisaSura yoyote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heaven Sent una sura yoyote?
Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimemaliza elimu ya chuo kikuu miaka Saba iliyopita, kwa sasa nimejiajiri na nina biashara zangu. Ninaishi mkoa wa Kilimanjaro. Mwanamke ninayemtaka awe,
@ umri wowote
@ awe tayari kufanya maisha
@ hata kama ana mtoto
@ sura yeyote
@ kabila lolote
nichek 0746859585.
Yaani apo umeonyesha kwajinsi gani ulivyomwehu. Umeshindwa kuona mke anaekufaa huko unakoishi, kusoma, kazini, unakoabudu unakuja kutafuta huku kwa wasiojulikana? Amazing
Sent using Jamii Forums mobile app
Graduate mzima unatafuta mke mtandaoni .Mkuu upo sawasawa kweli upstairs?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza ujifunze kutenganisha maneno. Pili muulize baba yako alimpataje mama yako then ndo uje andika ujinga hapa. Nani alikuambia wote waliooana walijuana tokea utoto?.
Kafie mbele blue Shwain. Tumechoka kutoa ushauri humu mkikutana na vitu vya ajabu na mihemko ya kukurupukia wake wa mitandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hasira za ajabu wewe domo zege.
Duh hii mada nilikuwa nimeisahau kitambo sana. Umekuja kufukua makaburi?Nyie mtakuwa na yenu.Kwani huyu ni wa kwanza kutafuta mpenzi humu.Mbona na nyie mpo hapa mnatafuta nini si muende majukwaa mengine? Au ni washauri wa hii wa hii page mnalipwa?
Ni nadhani yupo jukwaa sahihi kama linavyotaka.
Kama MTU unaona mambo ya jukwaa hili yanakukera basi unaMove .
Why uanze kugombana na watu na hujaitwa.
Tuwe na busara.
Aksante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa MkuuChangamkia fursa mama.
Mwe nilikuwa na hasira ila Happ mwisho pa kuniita your sweet darling ndo pamenilegeza.Sio Kweli ndugu yangu hata wake au waume toka mitaani kesi za Talaka zipo nyingi Mahakamani kama Ndo maana yako.
Mapenzi hayana formula ni kama urafiki Ndo mana zamani ili umsalimie ndugu yako ulikuwa unasafiri ( lazima) Now days no need of..You can just call or text.
So wake up my sweet Darling
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwe nilikuwa na hasira ila Happ mwisho pa kuniita your sweet darling ndo pamenilegeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sory mkuu, nilikosea kuquote.Sijakuelewa Mkuu