Natafuta mwanamke wa kuoa

Jahim

Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
21
Reaction score
10
Habari zenu wanabodi

Mimi nikjana wa umri wa 33 ninatafuta mwanamke around 26-30 wakuanza nae maisha Mi naishi Moro na awe tayari kija kuishi na mimi

Awe mpole kiasi,
Mchamungu,
Mkweli ,
Mwaminifu
 
Nimeletwa na upepo wa kisuli suli hum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…