Natafuta mwanamke wa kuoa

kassongo iddi

Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
19
Reaction score
24
Mimi nipo Dar kimaisha na makazi pia na ni mtu mzima ninaye jiheshimu natafuta mwanamke wa kuanzisha mahusiano naye Hadi ndoa muhimu awe mkweli na mwenye mapenzi ya kweli na umri usiozidi miaka 55. Mimi umri wangu miaka 57 na aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0754292989
 
Dunia imejaaa maajabu ....unatafta mke jfπŸ™„πŸ™„πŸ™„.... hakuna nyama tamu kama ile umewinda Mwenyewe kwa mbinde
 
Mkuu unachekesha, yaani ni sawa na kwenda Instagram au Telegram kutafuta mwanamke wa kuoa. Hapa utapata mademu dizaini ya mademu wa bongo movie tu almaarufu majinamizi ya talaka.
 
Yaani unatafuta humu JF? Pole sana.
 
Brother ni ushauri tu lakini
Unaweza kupata mke mwema kabisa na nakuombea ila makinika sana sana maana wengi wao siku hizi ni wafanyabiashara atakuja kwenye ndoa kwa ajili ya kuchuma na si kwa ajili ya mapenzi
 
Kweli KABISA.lakini na yeye awe serious
 
humu zimejaa takataka za instagram, bongo movie, bongo flava na telegram. hakuna mwanamke wa kuoa humu.
 
Mkuu unachekesha, yaani ni sawa na kwenda Instagram au Telegram kutafuta mwanamke wa kuoa. Hapa utapata mademu dizaini ya mademu wa bongo movie tu almaarufu majinamizi ya talaka.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…