Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Magoa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
28
Reaction score
5
Naitwa Sultani Saidi naishi Dar umri wangu ni miaka 28 natafuta mchumba na hatimae aje kuwa mke wangu wa ndoa
Mimi ni mrefu wastani , mweusi ,si mnene ,pia nina mtoto mmjoa
Sifa za mke ambae namuhitaji
1. Awe muislam
2. Umri kati ya miaka 20 - 28
3. Awe na hofu ya mungu
4. Awe mweupe au maji ya kunde
5. Mnene wastani
6.Ni vizuri nae akawa na mtoto pia hata kama hana sawa
Kwa alietayari tuwasiliane kwa e-mail hii (saidisultani@gmail.com) namba ya simu tutapeana baadae ukijiona unataka kucheza tafadhali usinisumbue kwani mimi siko kwa masihara
 
Back
Top Bottom