natafuta mwanamke wa kupotezana nae mawazo humuhumu jf

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
680
nina miaka 25 natafuta mwanamke humu ndani wa kupotezana nae mawazo humuhumu tu kwa kuchat kwa pm au through thread..sijali rangi kabila wala umri. huwa naona wivu sana ninavowaona akina @lara1 Bujibuji sweetylady wakitutambia namimi sasa natangaza nia, ila angalizo tutaishia humuhumu..
 
Last edited by a moderator:

Badili avatar weka ya handsome boy utapata wengi tu wa kuwafanyia interview, inapunguza stress pia, all the best and enjoy!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom