Natafuta mwanamke wa kutengeneza nae couple JF

Natafuta mwanamke wa kutengeneza nae couple JF

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Amani iwe Pamoja Nanyi!

Navutiwa sana na Jinsi Aspirin alivo na sky eclat , Smart911 alivyo na Mahondaw na pia wengine wengi ambao siwezi kuzijua couple zao!

Kwa kuvutiwa huko nami nimeona ni vema na ni jambo la kumpendeza Mungu ikiwa nami nitapata mwenzangu kupitia humu JF!

Maswala ya Elimu tusiulizane sana (Kwa aliye Tayari), Mimi elimu yoyote utayohitaji ipoo (Mpaka ya dini)😀😀!!

WASIFU WANGU

Below 27
Tall
Rangi Maji ya kunde
Mchangamfu
Mtani pia
Msikivu


Hii ni top 5 List ya ambao kweli wananivutia kwa kiasi fulani kutokana na michango yao ilioenda shule!
Mzigua90
Demiss
Nalendwa
Joanah
Thad


Nipo tayari kuwa na yeyote ilimradi tu awe anajua kutoa company at our free time!
Then ningefurahi zaidi kama amenizidi umri kidogo!

Naamini uzi huu hautoenda bure!.....Ukinielewa PM is there for you!

Stay blessed!

TheMason!
 
Hv yan skuhiz wanaume tumepungua sana yan kutongoza imekua kaz Sasa
Kilicho back n mtu anasubr kutongozwa kali hiii

Ngoja nkale kwanza masaa haya
Wanawake mmekuwa wengi
 
Hahaha simply kwa vile unavutiwa na wengine.....


Anyway kila la kheri.
 
Back
Top Bottom