Natafuta mwanamke wa kutengeneza nae couple JF

Umevutiwa na maandiko yao ama sura/maumbo yao!!!?kama maandiko mbona yako n mazuri kiasi kidogo na kama n sura mbona id zao sio za kweli.tuambie kinaga ubaga umevutiwa na nn kwao ili ufanye uyatakayo...!!!ila kumbuka kuwa sio kila mwana jf ana nia njema na hii jf ama kila mwana jf yupo kwa ajili ya jf ama kila mwana jf yupo kwa ajili ya maslahi endelevu ya jf.
Usilotakiwa ufikiri kwa kinyume chache ni haya yafuatayo:-id ni fake kwa wengi na wachache id zao n real,sio kila kitu humu huwa n kweli kwa ukweli wenyewe ama sio kila kitu humu n uongo kwa uongo wenyewe.kuna maneno mawali tyu humu na yanatumika ipasavyo ama kwa manufaaa ya hayo maneno.Ambayo ni "UKWELI" ama "UONGO".
 
Wanawake jf wote visura kutana nao mbashara utafikiri chura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…