37[emoji1] [emoji1] [emoji1] una 50yrs + nn?
Aaaah kumbe mdogo wangu
HongeraMi nna 37 na nusu
Ntaonekana nakubaka bwanaNikubalie hivo hivo Jamani kibonge
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkiunda couple jamaa atakuwa kibentenNtaonekana nakubaka bwana
KaribuNaweza Kuja PM kwako??
Ntaonekana mlezi wa mwana bure[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkiunda couple jamaa atakuwa kibenten
Ameridhia kulelewa,mkubalie mwenzioNtaonekana mlezi wa mwana bure
Nipeleke bathii mwenzaaNenda chumba cha ukaguzi utakuta maelezo yote
Hahah amka bhanaHv yan skuhiz wanaume tumepungua sana yan kutongoza imekua kaz Sasa
Kilicho back n mtu anasubr kutongozwa kali hiii
Ngoja nkale kwanza masaa haya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole bhana... Kuhusu huyo Daby ... inamaana unataka kunambia siku zote ulikuwa hujui kuwa Daby ndo Abdul Nondo???
Basi kama ulikuwa hujui ndo hivyo tena... alijaribu kujiteka ikashindikana, polisi wameamua kumteka ili asijiteke tena...
Missed you inna wangHahah amka bhana