waco1920
Member
- Oct 20, 2020
- 14
- 33
Habari marafiki zangu wa kwenye uwanja huu wa mahusiano!
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 48 ambaye nina watoto tayari. Niliachana na aliyekuwa mke wangu miaka 8 iliyopita na hadi sasa nipo huru.
Kutokana na uhitaji wa mtu kama huyu, ndiyo maana nakuja hapa kushare na wenzangu.
Kama kuna mdada ambaye yupo serious kutafuta mtu wa kumuoa na siyo "kuoana" naomba tuwasiliane kwa dhati ya moyo wake.
Mimi ni mkristo wa Kilutheri, sinywi pombe lakini kama huyo ambaye yupo tayari anakunywa, katika kipindi cha kufahamiana awe huru tu na nitamnunulia.
Napenda kutoka out mida ya jioni baada ya kazi hasa siku za weekend.
Wasifu:
Mimi nitakapompata, nitarejea hapa naye ili kuwaonesha kuwa humu napo ni njia sahihi ya kupata mwenza.
Asanteni.

- Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu
- Awe na umri kati ya miaka 26 - 32 na urefu wa kuanzia ft5+
- Awe mwenye mwili wa wastani kwani mimi sipendi watu wanene
- Rangi yake iwe ya asili siyo ya kutengeneza, na awe ni msafi na mtanashati (mrembo)
- Awe na elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea hata kama ana PhD cha msingi awe anataka mume
- Awe anaishi Dar
- Awe ni creative au ana kazi za kujishughulisha nazo
- Awe na upendo wa dhati kwa ndugu na watoto wangu japokuwa ni wakubwa na siishi nao muda mwingi
- Aidha, sifa za ziada ni pale tutakapokuwa tumekutana na kuonge.