Natafuta mwanamke wa kuwa na mahusiano naye ili wakati nimeadimika sana Jf awape taarifa nipo wapi

Kumbe ulimaniisha hivyo? Mbona wapo wengi wanajitangaza humu wakitafuta? Nyatia hao.
Wanajitangaza vipi? Maana kufahamiana pekee ni mahusiano 'ikiwezekana hadi mke', sasa kufikia kuona hapo ndio kasheshe kwanza kuonana tu itachukua muda..

Mungu akipenda lakini inawezekana, but mimi uhusiano huo wa kirafiki/kipeace kwanza. Kwani bado unajitoa?
 
Mimi ni daraja la Asprini siyo size yako.
 
Back
Top Bottom