naanza kuamini slogan hii wanawake ni watu wa kudanganywa, jamaa kaamua kuwa wazi nia yake ili baadae asijekukutia mimba akachukua mtoto akakutana na swali la ndoa lini!? mkaanza kutafutana uchawi wa mapenziKwa hiyo wewe unataka matunda tu, mti hauta upogelea baadae ili uchanue tena!!![emoji144]
Nimejaribu kuwa wazi sana, kwa sasa ndoa sihitaji, maana najua niliyoyapitia, sasa mtu asinielewe vibaya, Kwann Wanawake wanapenda kudanganywa. Mimi nitakua Baba wa mtoto mwenye Mapenzi kwa Mtoto na Mama aliyenizalia, si Lazima Tuoane.naanza kuamini slogan hii wanawake ni watu wa kudanganywa, jamaa kaamua kuwa wazi nia yake ili baadae asijekukutia mimba akachukua mtoto akakutana na swali la ndoa lini!? mkaanza kutafutana uchawi wa mapenzi
Wewe Umezini mara Ngapi nje ya Ndoa yako? Kama ulikua unaheshimu na kuthamini Ndoa yako, kwann unazini Nje ya Ndoa yako. Rejea Andiko langu, Mm nilishakua na ndoa, kwahiyo siwezi kuoa Tena. Huo ndo Ukweli ingawa ni Mchungu kwako. [HASHTAG]#Pitatumkuu[/HASHTAG].kwa hiyo unataka kuzini uendelee kuleta duniani watoto wa wazinaa?
subiri wazinifu wenzako waje wala usitegemee kupata mwanamke anaejielwa na kuthamin heshima yake
wajitokeze kwa ukweli nani asie zini dunia hiikwa hiyo unataka kuzini uendelee kuleta duniani watoto wa wazinaa?
subiri wazinifu wenzako waje wala usitegemee kupata mwanamke anaejielwa na kuthamin heshima yake
wewe oa tu tena mkuu Mungu atakusamehe ila approach unayotaka kuitumia ni mbaya zaidWewe Umezini mara Ngapi nje ya Ndoa yako? Kama ulikua unaheshimu na kuthamini Ndoa yako, kwann unazini Nje ya Ndoa yako. Rejea Andiko langu, Mm nilishakua na ndoa, kwahiyo siwezi kuoa Tena. Huo ndo Ukweli ingawa ni Mchungu kwako. [HASHTAG]#Pitatumkuu[/HASHTAG].
Vijana acheni kuvuta bangi.kama shida ni mtoto peke yake nenda kwenye vituko vya kulelea mayatima ukachukue hata 10 ukitaka.Nimejaribu kuwa wazi sana, wala Si Pepo, inawezekana ww ndo una Pepo la Ndoa. Mtoto Pekee ndo anaweza akanifanya nikupende na kukuheshimu Pengine hata zaidi ya vile ningekuoa. So relax [HASHTAG]#Dope[/HASHTAG]
Umevamiwa rohoni, ila huwezi jua hilo!Nimejaribu kuwa wazi sana, kwa sasa ndoa sihitaji, maana najua niliyoyapitia, sasa mtu asinielewe vibaya, Kwann Wanawake wanapenda kudanganywa. Mimi nitakua Baba wa mtoto mwenye Mapenzi kwa Mtoto na Mama aliyenizalia, si Lazima Tuoane.
Ukikolea je?Umri wangu ni Miaka 34 Mrefu, Mweusi Mkristo, Nimeajiriwa Botswana, kwa Sasa likizoni Tanzania, Niliwahi kuoa ila ndoa ikawa ndoano, Aliyekua mke wangu ni kama ya (Frola Mbasha). Mwanamke ninayemhitaji ni mwenye Elimu ya wastani, Age 25 - 30, dhehebu lolote ila mcha Mungu, Mwenye kuvutia, kazi si Lazima maana ninajitosheleza. Kwa Mwanamke aliye serious Akuje tuongee.
Kila la kheri mkuuNimejaribu kuwa wazi sana, wala Si Pepo, inawezekana ww ndo una Pepo la Ndoa. Mtoto Pekee ndo anaweza akanifanya nikupende na kukuheshimu Pengine hata zaidi ya vile ningekuoa. So relax [HASHTAG]#Dope[/HASHTAG]
Umri wangu ni Miaka 34 Mrefu, Mweusi Mkristo, Nimeajiriwa Botswana, kwa Sasa likizoni Tanzania, Niliwahi kuoa ila ndoa ikawa ndoano, Aliyekua mke wangu ni kama ya (Frola Mbasha). Mwanamke ninayemhitaji ni mwenye Elimu ya wastani, Age 25 - 30, dhehebu lolote ila mcha Mungu, Mwenye kuvutia, kazi si Lazima maana ninajitosheleza. Kwa Mwanamke aliye serious Akuje tuongee.