Natafuta mwanamke wa kuzaa nae

mjumbe22

Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
38
Reaction score
4
Mimi ni mwanaume wa miaka 30, elimu yangu ni bachelor degree, mimi nipo Mpanda ndipo ninapofanya kazi. Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae, kigezo cha mwanamke awe angalau na diploma au zaidi, mwanamke yeyote yule awe ameshazaa au bado. Nitamuhudumia akipata ujauzito na mtoto nitasaidiana naye malezi. Sina mpango wa kuoa sasahivi.

Aliyekuwa tayari na serious anipm na aache mawasiliano.
 
Haya wanaotaka kuwa single mother waje haraka
 
Elimu ya Bachelor Degree ndio ipi hiyo?
 
Kila la kheri ila tangazo hili lingefaa zaidi kijijini. Huku town utaliwa
 
Eti hataki kuoa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa ukizaa nae atakayekuja kumuoa nani kama si kuongeza idadi ya single mothers then mje kuanzisha uzi wa kuwatukana humu
 
Wanawake msikubali mtu wa aina hii, ni mtu complicated sana.mtasumbuana sana huko baadae.Halafu huyu ana aina fulani ya pepo.
 
su
biri mpaka utakapokuwa teyari kuoa mnajifanya hamna mpango kisha mnakuja hapa kutukana singo mamaz mchewwwwwwwwwwww
 
una dhambi ww kwahiyo sio umuoe kabisa ila ni kuzaa nae tu kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…