Kwa njia hiyo utawapata walio desperate na kugegeda kiulainii kisha kusepa. Ngoja waje.
Ila kama ni mie ningekuambia tufanye artificial insemination kwa gynae.
inaonekana hawa watu wanaotangaza kila kukicha wanatafuta watu wa kufunga nao ndoa huwa wanatafuta watu wa kugegedana nao party time.Kuna umuhimu wa kuwatengenezea jukwaa la wagegedaji
Kijana mdogo kama huyu anatafuta mtambo wa kutotoa. Why asioe kama sio kukimbia majukumu na kutafuta mgegedo wa dezo?
Kwa njia hiyo utawapata walio desperate na kugegeda kiulainii kisha kusepa. Ngoja waje.
Ila kama ni mie ningekuambia tufanye artificial insemination kwa gynae.
Poa basi, njoo tufanye bebi
Kijana mdogo kama huyu anatafuta mtambo wa kutotoa. Why asioe kama sio kukimbia majukumu na kutafuta mgegedo wa dezo?
Vipi mtalea kila mtu aishi vyake.......ndio mwanzo wa broken family zinavyoanza.
Hapo kwanza sijaelewa.....unatafuta mwanamke wa kuzaa nae ...mwanamke yoyote mjamzito uende nae hospitali akiwa anazaa uwepooo auu wewe una mimba sasa unataka mwanamke akusindikize mkazae wote...yani hebu kuwa clear...me ni mwanaume umri wangu ni miaka 26. Naomba nieleweke ninahtaji mwanamke wa kuzaa nae mtt na 2mlee mtt we2 ila kla mmoja aisha kvyake. Anaehtaj anpm au a2pie no ya cm.