teh teh napita tu ...Atakaye vutiwa na maelezo haya mpaka akakuPM atakuwa ni mbulula, mtu hata hujui kujieleza.
Atakaye vutiwa na maelezo haya mpaka akakuPM atakuwa ni mbulula, mtu hata hujui kujieleza.
Sijakuelewa. Unatafuta mwanamke wa kuzaa nae yaani muende wote hospital mkazae kwa maana kwamba wote mnanmimba au vp? Dadavua mkuu ueleweke.
Sijakuelewa. Unatafuta mwanamke wa kuzaa nae yaani muende wote hospital mkazae kwa maana kwamba wote mnanmimba au vp? Dadavua mkuu ueleweke.
Mimi nina miaka 40 ni muajiliwa.Ambaye yupo tayari anipm.Nitampatia sababu
aha aha teh teh wera wera umetisha mkuu hili ndilo talk of the forum