dorcas1234 Senior Member Joined Mar 13, 2012 Posts 116 Reaction score 34 May 17, 2013 #21 Swts said: hata kama manyoya bana... Asa hayo ma-vigezo ya nini bana.. Haya ana yote af mwizi balaa.. Mke mwema anatoka kwa Mungu tu. Click to expand... dizaini kama jamaa hayuko serious au?
Swts said: hata kama manyoya bana... Asa hayo ma-vigezo ya nini bana.. Haya ana yote af mwizi balaa.. Mke mwema anatoka kwa Mungu tu. Click to expand... dizaini kama jamaa hayuko serious au?
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,296 Reaction score 3,398 May 17, 2013 #22 Usisahau kuleta majibu!!!! Ukifanikiwa,ila kwa mtazamo wangu mapenzi lazimayapitie ugirl na uboyfriend kwanza cyo direct kwenye uchumba alafu ndoa.
Usisahau kuleta majibu!!!! Ukifanikiwa,ila kwa mtazamo wangu mapenzi lazimayapitie ugirl na uboyfriend kwanza cyo direct kwenye uchumba alafu ndoa.
MamaBeata JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 325 Reaction score 112 May 17, 2013 #23 Kabla sijakutana na baba Beata nilikua nna vigezo vyooote, sasa umechelewa kidoooogo nshaolewa na nmeshazaa pole sana hahaha
Kabla sijakutana na baba Beata nilikua nna vigezo vyooote, sasa umechelewa kidoooogo nshaolewa na nmeshazaa pole sana hahaha