Natafuta mwanamke wa maisha tutengeneze familia!

Natafuta mwanamke wa maisha tutengeneze familia!

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
3,407
Reaction score
5,418
Habari wakuu..

Napenda kuweka wazi kwamba nahitaji mwanamke wa kuanza naye maisha siyo kupotezeana muda kwani kama ni muda nimeshapoteza sana.


Naomba awe na sifa zifuatazo:

Sibagui. Dini
Kabila
Rangi
Kipato

Ajiheshimu na awe mcha Mungu.

Awe tiyari kujituma hata pale itakapohitajika kuwezeshwa mtaji.

Awe tiyari kupima AFYA.


Sifa zangu:
Umri, miaka 30

Mrefu wastani
Rangi ya kahawia

Mwajiriwa pia nimejiajiri.

Aliye serious naomba anicheki Private Message (PM).
 
Nakuombea mema mkuu ila kumbuka wengi WAIGIZAJI UKIMWEKA NDANI UMEKWISHA.Take care
 
Haujasema kama wewe ni mwamaume wa Dar au laa... Mademu wa humu wako conscious sana na hilo.... [emoji16][emoji16][emoji16]

Ahsante, nipo Arusha kwa sasa!
 
kila la kheri Mungu akusaidie umpate wa kufanana nae
 
Back
Top Bottom