Habari wakuu..
Napenda kuweka wazi kwamba nahitaji mwanamke wa kuanza naye maisha siyo kupotezeana muda kwani kama ni muda nimeshapoteza sana.
Naomba awe na sifa zifuatazo:
Sibagui. Dini
Kabila
Rangi
Kipato
Ajiheshimu na awe mcha Mungu.
Awe tiyari kujituma hata pale itakapohitajika kuwezeshwa mtaji.
Awe tiyari kupima AFYA.
Sifa zangu:
Umri, miaka 30
Mrefu wastani
Rangi ya kahawia
Mwajiriwa pia nimejiajiri.
Aliye serious naomba anicheki Private Message (PM).