Natafuta mwanamke wa maisha yangu

CarloJesus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2019
Posts
431
Reaction score
837
Mada tajwa yahusika

Natafuta mwenza

Wasifu wangu

Siku miingi nshamalizana na Elimu ya(wao wanaita ya juu)chuo

Nimewahi kuajiriwa...nikaamua kukiajiri

Sina mtoto Wala sijawahi kuwa na mke

Ni mkristo (MKATOLIKI)

Shughuli zangu kubwa kilimo

Nb.Nawapenda na kuwaheshimu wanawake wote,lakini kipaumbele Cha tangazo langu hili Ni kwa wanawake :

Ambao hawana wala hawajawahi kuwa na mtoto

Elimu kuanzia kidato Cha nne

Umri usizidi miaka 25

Awe radhi kufuata Imani yangu

Mchamungu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri amigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…