Natafuta mwanamke wa maisha yangu

Natafuta mwanamke wa maisha yangu

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
155
Reaction score
19
Jamani niko sirious natafuta mke aje anitunze pamoja na kuitunza familia ye2 ambayo itapatikana mungu akipenda awe na sifa zifuatazo. 1.awe mwenye elimu japo ya msingi 2.awe mcha mungu. 3.acwe kiburi 4.acwe mlevi wa kilevi aina yeyote 5.awe na mapenzi ya kweli 6.awapende ndugu zangu kama anavyoipenda nafsi yake 7.awe mkarimu 8.anijali ktk kila hali. Kama unahic ww unalandana na haya karibu ktk dunia yangu ya mahaba. Nb msicha wa aina yeyote nipo tayari mzuri au mbaya mrefu au mfupi mwembamba au tinginya poa 2.
 
Hapo no 6: ni kitu ambacho hakiwezekani katika sayari hii

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mbona hujaweka vigezo vyako mie nakupm

Hajaweka umeona eee? aseme na yeye yukoje au vip? ila mimi naamini hata kama ameweka katangazo kake hapa,asiache kumuomba Mungu maana asijeingia kwenye yaleeeee majuto ya milele,maana sijawahi sikia "MAJUTO" anaitwa mjomba,sikuzote yeye ni mjukuu tu,lakini Binadamu tulio wengi huwa tunakosea sana,,,,yaani unakuta dada au kaka anatafuta mwenza wa sifa fulani wakati yeye hana hata moja kati ya hizo azitakazo,matokeo yake ndoa inakuwa ndoanoooooooooo,,,,,angalau tuwe tunajiuliza kwanza "hizitabia njema niziatakazo kwa mwenzangu,je mimi ninazo?"
 
Tamthilia hizo
A woman of my life, we subiri tu
 
Back
Top Bottom