Natafuta mwanamke

Natafuta mwanamke

Mwakih

Senior Member
Joined
May 16, 2011
Posts
168
Reaction score
54
Hi to all,
kwa mara ya kwanza najitokeza.
Yaah mim ni kijana wa kiume natafuta mwanamke awe anaumbo la unene wa wakawaida, urefu wa kawaida, dini yeyote. Umri uwe kati ya miaka 18-23,
tuwasiliane kwenye email: annajsph4@gmail.com
jamani nipo serious.
 
Join Date : 16th May 2011Posts : 4
Thanks 4 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0

subiri subiri ukue kwanza!!!

Nahisi hata Love Connection huinoni, sielewi huijui au basi tu mazaoea hujenga tabia!!!
 
Hi to all,
kwa mara ya kwanza najitokeza.
Yaah mim ni kijana wa kiume natafuta mwanamke awe anaumbo la unene wa wakawaida, urefu wa kawaida, dini yeyote. Umri uwe kati ya miaka 18-23,
tuwasiliane kwenye email: annajsph4@gmail.com
jamani nipo serious.

Mbona umetoa sifa unazotaka kwa huyo mwanamke alafu
wewe hujajieleza hizo sifa... ili kupunguza wasiofaa kukutafuta
elezea; mwenye interest atapenda ajue hizo specifications pia...

All the best.
 
Back
Top Bottom