Natafuta mwanamke

Namimi pia natafuta
Sifa zangu
Nina miaka 24
Elimu: kidole kinachofuata baada ya Shahada kabla ya kidole cha chanda
Kazi : Jobless
Rangi: mweusi
Urefu: Mrefu sana
Mwili: kawaida

Sifa za mwanamke nimtakae
Umri: yeyote
Dini: yeyote
Elimu: yeyote
Rangi: yeyote
Kazi: yeyote
Mwili: yeyote
Urefu: yeyote

Mwenye vigezo karibu DM [emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwenye vigezo hivyo
 
Sisi wa la 7 hututaki??.
Halafu hii I'd yako inaonekana ni maalum kwa kutafutia mwanamke,unayo id nyingine ya matukio mengine?
 
Sawa mkuu Citizen B
Subiri waje[emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…