Natafuta mwanamme wa kunioa.

Matonya2

New Member
Joined
Nov 9, 2018
Posts
1
Reaction score
13
Wapendwaa Habari zenu?

Mpaka nimefikia hatua hii siyo kwamba huku nilipo hakuna wanaume sababu ni kwamba mimi ni mwajiriwa wa serikali nimepelekwa ktk kijiji kimoja hapa Tanzania kiukweli namaliza mwaka wanaume wote waliopo huku wameoa ambao hawajaoa wengi wao ni vitoto vidogo.

Mimi ni msichana umri wangu miaka 26 nahitaj kuolewa na huku wanaume wengi hawana future za maisha.


Sifa za mwanamme:
1.Awe ameajiriwa au kujiajiri maeneo ya mjini.
2.Miaka 30 -40
3.Dini yeyote
4.Hata kama ulishaoa ukaacha una watoto nipo Tayari.
5.Usiwe Mfupi.


Sifa zangu :
1.Maji ya kunde
2.Mrefu wastani
3.Umbo wastani
4.Mwajiriwa serikalini


Nina Imani Nita pata mme huku ninayemuhitaji kwa sababu nahitaj mwanamme anayejituma tufanye maendeleo ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu Shape yako? Chura?
Maana vijana wanavutiwa sana na hiyo kitu.

Binafsi napenda ngozi nyeusi kabisa. Sasa hapo kwako kuna maji ya kunde ndio nimeshindwa.

Kila la kheri.
 
Kejeli za nini wapendwa?
Kati ya Watanzania 10 basi 9 wana msongo wa mawazo. Usikute waliochangia hapa wengine Wakulima wa mahindi, wengine korosho, Wengime Fao la kujitoa, Wengine inabidi wastaafu huku sheris ya kikokotoo kipya cha mafao ikikaria kupitishwa. Sasa stress zao wanakuja kuzipunguza kwa dada wa watu asiye na hatia.
 
Umesahau kutaja specification muhimu sana! Vipi kuhusu chura wako? Ni mdogo mdogo au mkubwa mkubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…